Diamond Platnumz – Nani
Diamond Platnumz – Nani
Nani”
Aiyoo…oh
Zombie we
Zombie wewe
Oh, Zombie, yo
S2Kizzy Baby
Wanaosema wamekuzidi, wamemzidi who?
Labda kuuza vi pipi na nyingi tattoo
Si wakuonjwa, kumezwa labda watemwe, ‘tuu!
Wivu, ugonjwa, viendekeza vimeshushuka, ‘shuu!
We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki’ sitoboi
Kawe dereva mi utingo, penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori
Mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu ‘natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini?
Kama unanipa, nipe’ mi sipendi kudundishiwa chini
We bwana we, niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende, niende)
Niende kwa nani asa, niende asa
Lala, lala, lala
Embe dodo, embe dodo, (Eh!) limelala mchangani (Ah!)
Nimeoza si kidogo, niko hoi taabani
Iwe huba au virobo (Eh!), kazi kwenu kina nyani (Ah!)
Maana hamnaga dogo, kwani kuna jipya gani?
We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki’ sitoboi
Kawe dereva mi utingo, penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori
Mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu ‘natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini?
Kama unanipa, nipe’ mi sipendi kudundishiwa chini
We bwana we, niende kwa nani asa, niende asa (Oh, niende, ndi, ndende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, eti nikuache wewe)
Niende kwa nani asa, niende asa
More Tanzania Music
Watch Diamond Platnumz – Nani


Comment