Mbosso – Pawa
Mbosso – Pawa
[Instrumental Intro]
S2Kizzy, Baby
[Verse 1]
Kamusi namaliza kurasa kukusifia
Matusi naiona BASATA wakinifungia
Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia, ah
Mjusi ukuta wa plasta na uparamia
[Pre-Chorus]
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
[Chorus]
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
[Instrumental Break]
[Verse 2]
Nilifeli secondary kwendaga chuo
Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
Yeremia mstari nifunue Ufunuo, oh
Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo
[Bridge]
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
[Post-Chorus]
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa
Pawa, pawa, naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
[Instrumental Outro]
Ka Mix Lizer
Tanzania Music FreeDownload
Watch Mbosso – Pawa On YouTube


Comment